Manchester United amekubaliana na Benfica juu ya mchezaji wake Bruno Fernandes kwa ada ya paundi milioni 65 kwa ajili ya sahihi ya mreno huyo kujiunga na mashetani wekundu kilichobaki ni muda tuu.

Golikipa wa AFC Bournemouth Asmir Begovic anakaribia kujiunga na Ac Milan kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu huu.

FC Barcelona wamepata pigo zigo katika safu la ushambuliaji mara baada ya fowadi wake Luis Suarez kuumia na atakaa nje ya uwanja kwa muda miezi minne.