-Klabu ya Yanga imetangaza kuwa kocha mkuu Luc Eymael na kocha wa viungo Riedoh Berdien wameingia mkataba wa mwaka mmoja na miezi sita Kila mmoja kuitumikia Yanga.

-Afisa Mhamasishaji na Msemaji wa Klabu ya Yanga, Antonio Nugaz amesema Klabu ya Yanga haikumuhitaji Kiungo wa zamani wa Klabu ya Simba, James Kotei ambaye kwa Sasa anacheza Kaizer Chief ya Afrika Kusini kwa sababu hana quality ya kucheza Klabu ya Yanga. Nugaz amedai uwepo Makame Yanga Kotei hawezi kupata namba.
