-Klabu ya Yanga imetangaza kukamilisha Usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Hearts of lions, Ashanti Gold ya Ghana, As Vita ya DRC, Orlando Pirates ya Afrika na Motema Pemba ya DRC, Bernard Morrison Raia wa Ghana.

-Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imevunja mkataba na kiungo wa kimataifa wa Ghana, James Kotei kwa makubaliano ya pande mbili kwa Sasa Kotei ni mchezaji huru na yupo nyumbani kwao Ghana.
