-Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta kesho atasafiri kwenda nchini England kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya kujiunga na Klabu ya Aston Villa inayoshiriki ligi kuu nchini England (Premier league). Aston Villa imekubali kulipa daua la £9m Kama ada ya uhamisho.
-Beki kisiki wa Real Madrid, Sergio Ramos ameandika kwa Lugha ya Kiswahili katika ukurasa wake wa Instagram maneno yanayo someka ”Hakuna Matata”

