USAJILI Waliosajiliwa, waliotemwa na waliotolewa kwa mkopo Yanga SC katika kipindi cha ‘dirisha dogo la usajili’ lililofungwa Januari 15/ 2020. (BOFYA PICHA KUTAZAMA VIZURI)

-Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul makonda ameteuliwa kuwa mshauri Mkuu wa klabu hiyo, Makonda ndiye anaeelezwa kuwa alifanya juhudi za kumshawishi Mohamed Dewji kutengua uamuzi wake wa kujiuzulu.
Uteuzi huu umefanywa na Mkurugenzi wa Bodi ya Simba Mohamed Dewji.